Ripoti ya CAG, CCM mnasaka laana kwa udi na uvumba, pona yenu ni udhaifu wa walamba asali

Ripoti ya CAG, CCM mnasaka laana kwa udi na uvumba, pona yenu ni udhaifu wa walamba asali

Desprospero

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
1,015
Reaction score
2,493
Siku ya Jumatatu usiku kuamkia Jumanne Party Cocus ya CCM ilikutana Dodoma kuwekana sawa kabla ya vikao vya Bunge kuanza kama ilivyo kawaida.

Kikao kiliratibiwa vizuri na Mbunge Rashidi Shangazi kama Katibu wa hiyo Cocus akisaidiwa na Mzee Kinana na Sekretariet ya chama.

Hoja ya CAG ikachukua ajenda kuu ambapo Kinana alishauri, "ninyi ni wabunge wa CCM, chama tawala, sote tunajua ripoti ya CAG imekaa vibaya na inaweza kukiondoa CCM madarakani 2025 au mbele iliyo karibu. Kwa hiyo ni lazima kuitetea Serikali mengine chama tutamaliza majukwaani".

Kwa kauli hii tusitegemee adhabu yoyote kuchukuliwa kwa wezi wote waliotajwa na Kichere wa CAG 2023. Tafakari chukua hatua.
 
Ccm wanafaidika na wizi huu unaofanyika ndani ya serikali
 
Back
Top Bottom