Ripoti ya CAG hati nzuri CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA

Ripoti ya CAG hati nzuri CCM, ACT-Wazalendo na CHADEMA

Kamundu

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2006
Posts
7,823
Reaction score
10,857
Inasikitisha wakati mwingine kuona watu wengi wanapenda sana mabaya kuliko mazuri.

Sasa hivi vyama vyote vina hati nzuri lakini watu hawasemi maana kuzuri sio drama. Wengi walikuwa wakisubiria kushambilia wapinzani hasa Chadema na ACT. Vyama ambayo vina hati mbaya kwasababu ni wasindikizaji hakuna anaye waongelea. Hivi vyama vya wakina Mrema na Cheyo ni kama biashara lakini tunaona poa tu. Hakuna hatua yeyote. Ingekuwa Chadema leo hii wangesema hatua zichukuliwe
 
Back
Top Bottom