Ripoti ya CAG iliyosheheni ufisadi mkuu kimya...

Ripoti ya CAG iliyosheheni ufisadi mkuu kimya...

MKWEAMINAZI

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2023
Posts
930
Reaction score
1,304
Hii ndio Tanzania taifa ambalo mambo makubwa yenye tija kwa taifa hayajadili kwa kina na wahusika kuchukuliwa hatua.

Report ya CAG iliposomwa kulikuwa na mjadala mzito watanzania tukaamini serikali itasimama kidedea kuhakikisha wahusika wote wliotajwa na CAG watachukuliwa hatua kali za kisheria kumbe ile report ni kama kitabu cha hadithi hakuna cha hatua kila mtu kanyamaza kama vile hakuna kilichotokea.

Naipongeza sana CCM kwa ukimya wake.

kigogo200014_168167265020969.jpg
 
Back
Top Bottom