Hii ndio Tanzania taifa ambalo mambo makubwa yenye tija kwa taifa hayajadili kwa kina na wahusika kuchukuliwa hatua.
Report ya CAG iliposomwa kulikuwa na mjadala mzito watanzania tukaamini serikali itasimama kidedea kuhakikisha wahusika wote wliotajwa na CAG watachukuliwa hatua kali za kisheria kumbe ile report ni kama kitabu cha hadithi hakuna cha hatua kila mtu kanyamaza kama vile hakuna kilichotokea.