Ripoti ya CAG kule Tanzania mafisadi wamepiga, mabilioni yanatajwa utadhani pesa ya mboga

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
NHIF, NIC, Halmashauri nyingi, tume ya uchaguzi NEC n.k. wote wametajwa kuchezea mabilioni, ndio maana mkaguzi mkuu amepindishwa pindishwa na kugeuzwa geuzwa kama mtura.

Bunge limemponda kisa alisema lina udhaifu, walitumia kijisababu cha neno moja kugomea ripoti muhimu kama hii.

Hadi namuonea huruma Magufuli, pamoja na ukali wote huo mijitu inapiga tu, mzee wa watu ameshtukiza, ameongea kwa ukali, amezunguka nchi lakini Wabongo ni mfupa uliomshinda fisi, wameshamsoma na kuunda mikakati, wanaitafuna nchi ilhali yenyewe maskini sasa sijui kipi kinasalia baada ya upigaji wote huo.
-------------------------------

https://www.thecitizen.co.tz/News/C...ocurement-/1840340-5065556-1213a88/index.html

https://www.thecitizen.co.tz/News/N...e-payment-/1840340-5065564-kctor3z/index.html
 
NHIF, NIC, Halmashauri nyingi, tume ya uchaguzi NEC n.k. wote wametajwa kuchezea mabilioni, ndio maana mkaguzi mkuu amepindishwa pindishwa na kugeuzwa geuzwa kama mtura. Bunge limemponda kisa alisema lina udhaifu, walitumia kijisababu cha neno moja kugomea ripoti muhimu kama hii.
Hadi namuonea huruma Magufuli, pamoja na ukali wote huo mijitu inapiga tu, mzee wa watu ameshtukiza, ameongea kwa ukali, amezunguka nchi lakini Wabongo ni mfupa uliomshinda fisi, wameshamsoma na kuunda mikakati, wanaitafuna nchi ilhali yenyewe maskini sasa sijui kipi kinasalia baada ya upigaji wote huo.
-------------------------------

https://www.thecitizen.co.tz/News/C...ocurement-/1840340-5065556-1213a88/index.html

https://www.thecitizen.co.tz/News/N...e-payment-/1840340-5065564-kctor3z/index.html

Napata shida kwamba yeye hayajui haya!! Kuba fisadi kafungwa kipindi chake cha miaka minne!?
 
Bora sisi tanzania kulik jirani zetu, wanashindwa hata kubanana nani kala pesa za Reli mara njaa mara Makamu ana heka laki 5 DRC basi ni vurugu tupu
https://www.bbc.com/swahili/habari-47787569
Serikali ya Kenya yapoteza mabilioni ya fedha kuwalipa polisi bandia
sasa huku sijui ni kina nani wanapiga maana ni viongozi tu ndio wanatajwa kupiga , bora Rais wetu Magufuli akiona anatumbua tu
 
Kwa hivyo ripoti ya CAG wenu imetaja majina ya kila aliyepiga na alipiga ngapi.
Ndio yale yale ya kupimana urefu wa dushe.
Ngorongoro kule naona walibugia chapati za bilioni moja, yaani Tanzania bilioni inatajwa kama hela ya mtaani.
 
Bongo mfupa uliomshinda fisi mazee... Hata na tumbua tumbua majipu ya jiwe bado jamaa wanapiga hela ndefu tuu daah!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Majizi yaani hehehe
Hii sijui Lumumba JF brigade also known UVCCM wataipiga twist gani, naona wote kimya, hawajajibu na zile stori zao za Turkana na Pokot na Kibera na KQ, labda wanasubiri maagizo watumie PR gani kuijibu.
 
Kwa hivyo ripoti ya CAG wenu imetaja majina ya kila aliyepiga na alipiga ngapi.
Ndio yale yale ya kupimana urefu wa dushe.
Ngorongoro kule naona walibugia chapati za bilioni moja, yaani Tanzania bilioni inatajwa kama hela ya mtaani.
unaacha kufuatilia njaa huko Turkana unakimbilia kusini mwa africa kufunga acc halafu unawananga viongozi kuwa atakayefisadi namkamata acheni woga km kiongozi kamateni,
Huku kwetu Kisena na mkewe wapo ndani, kin Manji na matajiri kibao walitupwa na wapo ndani Kenya wanaweza?
 
Back
Top Bottom