Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu naomba hiii ripoti ya cag
Angalia attachments hapa Ripoti za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Mwaka wa Fedha 2019/2020Mkuu naomba hiii ripoti ya cag
Kwanini walisubiri mpaka afe ndio watoe report ya kweli?. Wanamuhadaa nani, kama sio unafiki tu maana ingekuwa heri jiwe akutumbue kwa kuleta report ya kweli kuliko kutuhadaa sisi watanzania kiasi hiki. Haya mambo yanaumiza Sana, na kama ni fitna ya mchezo basi Mungu akawe shahidi mwaminifu kwa mwendazake na kwa watanzania.
Hawana akiliAcha ujinga mbona mnasahau kijinga ivi prof Assad si aliwaambia ukweli mkamtimua leo mnasema mwendazake anafanyiwa fitna wakat ndo ukweli wenyewena ndo hai halisi ya tulipo
Report ya CAG hutoka mwezi Aprili. Sidhani kama imesubiriwa JPM afe ndo itoke.Kwanini walisubiri mpaka afe ndio watoe report ya kweli?. Wanamuhadaa nani, kama sio unafiki tu maana ingekuwa heri jiwe akutumbue kwa kuleta report ya kweli kuliko kutuhadaa sisi watanzania kiasi hiki. Haya mambo yanaumiza Sana, na kama ni fitna ya mchezo basi Mungu akawe shahidi mwaminifu kwa mwendazake na kwa watanzania.