Ripoti ya CAG; Nini hatma ya hasara zinazosababishwa na Mashirika ya umma?

BaraZ

New Member
Joined
Feb 17, 2025
Posts
3
Reaction score
0
Hivi tunapofuatilia Report ya CAG. Pamoja na hasara zinazoletwa na serikali. Mfano tu, kwenye shirika la ndege, hatma ya hasara hizo ni nini Au ni kumkaba mwananchi na je hatma ya hiyo report ni nini maana haturudishiwi mrejesho ikiwa kosa limesahihishwa au Sheria imechukuliwa. Au ni vile hatuna pa kuipeleka serikali?

Pia soma
- Kamati ya Bunge: Injini za Boeng zaleta hasara ya Bilioni 127 kwa ATCL
 
Inauma sana nikikumbuka natakiwa kulipa mapoto tra na mabilion ya fedha hayajulikani yalipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…