Ripoti ya CAG. Tunaishia kupiga kelele na hatuna la kuwafanya. Kuna ukweli...

Ripoti ya CAG. Tunaishia kupiga kelele na hatuna la kuwafanya. Kuna ukweli...

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
25,252
Reaction score
36,513
Kibonzo cha msanii Massoud Kipanya kinafumbua fumbo lisilojadilika.

IMG-20240412-WA0019.jpg


Nani mwenye uthubutu?
Hata Rais mwenyewe anaonekana kuvuta miguu kwenye kuwachukulia hatua wabadhirifu waliotajwa kuhusika na ukwapuaji wa fedha za umma.

Tutafakari pamoja.....
  1. Je, tunajadili kama wananchi kwa lengo gani?
  2. Nini kinapaswa kufanyika kusafisha uozo ulioanikwa na CAG?
  3. Je, tumefikia ukomo wa mamlaka zenye uwezo wa kuchukua hatua? Kwa nini vyombo viagizwe badala ya kufuata mkondo wa kisheria katika kushughulikia wizi ulioanikwa?
  4. Je, mamlaka ya juu imepwaya ama inasita kuchukua hatua?
  5. Una maoni gani binafsi?
 
Back
Top Bottom