Ripoti ya CAG Zanzibar yaondoka na Mkurugenzi wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA)

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Taarifa ya Ikulu imethibitisha kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekubali barua ya kujiuzulu kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA), Ahmed Khamis Makarani.

Hatua inakuja kufuatia maelekezo ya Rais Mwinyi kuitaka ZAECA ijitathmini baada ya hivi karibuni kupokea ripoti ya Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Kati ya taarifa zilizotolewa na CAG ni pamoja na Wizara Afya kuwasilisha madeni ghushi katika uhakiki wa Zabuni za Madawa na Vifaa Tiba ambapo deni la zabuni ya Tsh. Bilioni 4.922 lililowasilishwa kwake lakini baada ya uhakiki ikabainika kuwa deni halali ilikuwa ni Tsh. Milioni 886.68.

Soma Ripoti ya CAG hapa >>> Zanzibar: Ripoti ya CAG, Dr. Othman Abbas Ali abaini madudu, wizi na mauaji. Uongozi wa ZAECA wakalia kuti kavu. Rais Mwinyi akunjua makucha
 
Watu walitaka kupita na billion tatu na ushee
 
Geresha hiyo. Atapangiwa kazi nyingine
 
VIPI RIPOTI YA CAG wa TANZANIA yenyewe haina uwezo wa Kuondoka na Mtu?
 
Taarifa ya Ikulu imethibitisha kuwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Ali Mwinyi amekubali barua ya kujiuzulu kwa Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Kuzuia Rushwa na Uhujumu Uchumi (ZAECA), Ahmed Khamis Makarani.

Hatua inakuja kufuatia maelekezo ya Rais Mwinyi kuitaka ZAECA ijitathmini baada ya hivi karibuni kupokea ripoti ya Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG).

Kati ya taarifa zilizotolewa na CAG ni pamoja na Wizara Afya kuwasilisha madeni ghushi katika uhakiki wa Zabuni za Madawa na Vifaa Tiba ambapo deni la zabuni ya Tsh. Bilioni 4.922 lililowasilishwa kwake lakini baada ya uhakiki ikabainika kuwa deni halali ilikuwa ni Tsh. Milioni 886.68.

Soma Ripoti ya CAG hapa >>> Zanzibar: Ripoti ya CAG, Dr. Othman Abbas Ali abaini madudu, wizi na mauaji. Uongozi wa ZAECA wakalia kuti kavu. Rais Mwinyi akunjua makucha
watu wanapiga pesa sana asee,
 
Zanzibar Ina mtihani mkubwa asna kwenye mambo kama haya. Kuna kitu kinaitwa MUHALI...tuone mwisho wake
 
Back
Top Bottom