Tajiri wa kinyankole
JF-Expert Member
- Jun 12, 2019
- 1,977
- 4,912
ALiongea upuuzi mtupu mbona huyo kijana hakumtaja jina na walq hakuwataja waliomhaidi hiyo pesaAlisema kuna kijana wa Arusha(16) aliahidiwa atapewa milioni 5 ili afanye vurugu....
Kiukweli ile ripoti ni nyepesi sana.. halafu vitu vya msingi havijaripotiwa na sababu alizotoa hazikuwa na mashiko
Mkuu, kwa akili ya kawaida yaani eti mtu aliyelipwa (na nani?) na kukubali kuandamana ajipeleke mbele ya tume kama shahidi huku akijua kuna uharibifu mkubwa wa mali na vifo vilitokea kwa yeye kukubali kushawishiwa kuandamana??.Alisema kuna kijana wa Arusha(16) aliahidiwa atapewa milioni 5 ili afanye vurugu....
Kiukweli ile ripoti ni nyepesi sana.. halafu vitu vya msingi havijaripotiwa na sababu alizotoa hazikuwa na mashiko
Ripoti ina mapungufu mengi kana mwamba mtu alikaa zake ndani akaandika na kuja kuiwasilisha. Jaji ametukosea sana. Halafu anasema kuna watu walioshawishi lakini kashi dwa kuwataja.ALiongea upuuzi mtupu mbona huyo kijana hakumtaja jina na walq hakuwataja waliomhaidi hiyo pesa
Halafu walikaa muda mrefu na ripoti inakuja ile... Yaani mambo mengi yanashangaza kweli.Mkuu, kwa akili ya kawaida yaani eti mtu aliyelipwa (na nani?) na kukubali kuandamana ajipeleke mbele ya tume kama shahidi huku akijua kuna uharibifu mkubwa wa mali na vifo vilitokea kwa yeye kukubali kushawishiwa kuandamana??.
Kwangu mie naona haya ni maigizo ya uvccm ili kuhalalisha yale maneno ya samuya wakati ule eti kuna watu walilipwa kuandamana!
Mtu aliyeshawishiwa kwa namna yoyote kushiriki maandamano hawezi kukubali kwenda kutoa ushahidi mbele ya tume,
Ni sawa na mhalifu kujipeleka mwenyewe kituo cha polisi, wabongo tunajuana vzr hakuna wa hivi tume iache utapeli!!!.