Ripoti ya kiwira - muhimu

Ripoti ya kiwira - muhimu

Angalia wanachosema kwenye kifungu cha 2.1.3 na kile cha utekelezaji cha 3.2 maana yake nini?
 
aaargh..... this is ridiculous!!!
Its just like that!!!
 
Halafu Kikwete anasubiriwa kuidhinisha malipo ya shilingi 17 billioni kwa Mkapa eti "kumfidia gharama alizoingia alipoamua kununua Kiwira." Mbali ya hapo Mkapa aliidhinisha matumizi ya shilingi bilioni 10 za Serikali eti "kuukarabati" mgodi ule na mkopo wa shilingi bilioni 7 aliouchukua NSSF hadi leo hajarudisha hata senti tano. WIZI MTUPU!
 
Ungemalizia kwa kusema kuwa Bunge linasema kuwa limeridhika na jinsi serikali ilivyotekeleza maazimio ya Bunge
 
Back
Top Bottom