Ngemera alistides
Member
- Jul 18, 2020
- 14
- 11
Kwa mfanya biashara ni lazma kila siku kutoa taarifa ya mauzo kwenye EFD Mashine? Ina umuhimu gani kwangu kama mfanyabiasha na inawasaidia nini TRA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanikamue tenaIli wakukamue vizur
Hizo kibiashara tunaita cost of initial investment na hizo sio kodi hivyo ni vibali au lessen havina uhusiano na kodi, hizo gharama unatakiwa unazivunja vunja kdg kdg atazilipa mlaji wa mwisho na sio ww mfanyabiashara.Nahizo Kodi unazolipa ukitaka kuanza biashara zinatoka katika faida ipi, au mauzo ya siku yapi?.
Kheri wakwepa Kodi kuliko wafuja Kodi.Hizo kibiashara tunaita cost of initial investment na hizo sio kodi hivyo ni vibali au lessen havina uhusiano na kodi, hizo gharama unatakiwa unazivunja vunja kdg kdg atazilipa mlaji wa mwisho na sio ww mfanyabiashara.
Kodi,tozo,na vibali hizo gharama zote anatakiwa kulipa mteja, kama ww ni mfanya biashara na unalipa kodi au tozo kwa kutumia hela yako iyo biashara lazima ufunge haitakilipa
Ishu ni kwamba watoza kodi hawajui nini biashara, na wafanya biashara hawajui nini kodi ni mwendo wa kuibiana tuKheri wakwepa Kodi kuliko wafuja Kodi.
Umewahi kufanya biashara?Wafanya biashara wengi hawana elimu ya kodi dhana zao kuwa kodi ni unyonyaj,wizi na utapeli lakini siku ukipata dull package ya elimu ya kodi hautakwepa kodi maana ukweli ni kwamba kodi ni rahisi mno kwa nchi yetu ya Tanzania. Mtu yuko Tayar kuhonga lakini asilipe kodi kumbe kodi ni ndogo kuliko iyo hela ya kuhonga.
Kisheria kodi inalipwa kutoka katika faida halisi ( net profit) ambayo ni si zaidi ya 30%. Lakini anachukua mtaji + profit ndio anatoa kodi apo lazima uone kodi ni maumivu. Ishu kubwa iliyopo wafanyabiashara wengi hawana desturi ya kuweka record miamala yao na pamoja document zako.
Tusome na tujifunze elimu ya kodi na tuache kulia lia ukiwa layman kwenye Djnia kila kitu kitakuwa kigumu kwako.
EFD Inakusaidia katika record keeping japo ina uhusiano na ulipaji kodi
TRA inatakiwa uwasilishe riport ya mauzo, riport ya faida, pamoja na mtaji wako