Ripoti ya Mauzo kwa Siku

Wafanya biashara wengi hawana elimu ya kodi dhana zao kuwa kodi ni unyonyaj,wizi na utapeli lakini siku ukipata dull package ya elimu ya kodi hautakwepa kodi maana ukweli ni kwamba kodi ni rahisi mno kwa nchi yetu ya Tanzania. Mtu yuko Tayar kuhonga lakini asilipe kodi kumbe kodi ni ndogo kuliko iyo hela ya kuhonga.

Kisheria kodi inalipwa kutoka katika faida halisi ( net profit) ambayo ni si zaidi ya 30%. Lakini anachukua mtaji + profit ndio anatoa kodi apo lazima uone kodi ni maumivu. Ishu kubwa iliyopo wafanyabiashara wengi hawana desturi ya kuweka record miamala yao na pamoja document zako.

Tusome na tujifunze elimu ya kodi na tuache kulia lia ukiwa layman kwenye Djnia kila kitu kitakuwa kigumu kwako.

EFD Inakusaidia katika record keeping japo ina uhusiano na ulipaji kodi
TRA inatakiwa uwasilishe riport ya mauzo, riport ya faida, pamoja na mtaji wako
 
Nahizo Kodi unazolipa ukitaka kuanza biashara zinatoka katika faida ipi, au mauzo ya siku yapi?.
 
Nahizo Kodi unazolipa ukitaka kuanza biashara zinatoka katika faida ipi, au mauzo ya siku yapi?.
Hizo kibiashara tunaita cost of initial investment na hizo sio kodi hivyo ni vibali au lessen havina uhusiano na kodi, hizo gharama unatakiwa unazivunja vunja kdg kdg atazilipa mlaji wa mwisho na sio ww mfanyabiashara.
Kodi,tozo,na vibali hizo gharama zote anatakiwa kulipa mteja, kama ww ni mfanya biashara na unalipa kodi au tozo kwa kutumia hela yako iyo biashara lazima ufunge haitakilipa
 
Kheri wakwepa Kodi kuliko wafuja Kodi.
 
Ninayo app nzuri ya kupiga mahesabu ya duka.Inafaa kutumia wakati wa kufanya stock.
1.Unaweza kujua duka lako limekuingizia sh. kwa mwezi au kwa mwaka.
2. Inaonyesha thamani stock iliyopo dukani
3. Inaonyesha Kila bidhaa unayouza Ina faida ya sh. ngapi
4. Kama Kuna upotevu wa fedha inaonyesha.

INAFAA KUTUMIA KWENYE SMART PHONE AU COMPUTER

Ili kuitumia unatakiwa kuwa na rekodi sahihi za Kila manunuzi na mauzo ya Kila siku. Nicheki Whatsapp 0753546162
 
Umewahi kufanya biashara?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…