Wanasema aliingia akiwa hana raha na alipotoka wenzake walibaki wameduwaa na wakitafakari kwamba wanaambiwa watetee ripoti ambayo hawajui inasema nini!!!!.[/QUOTE said:Its time to reap what was sown.If he was a champion of these embezlement and the boomerang has rebounced how can he be happy?
But lets watch carefully .The man can manipulate things .Kama wabunge hawajawa ngangari tujue kwamba inaweza kutolewa simple sentence kama ile ya Wazuia rushwa wa nchi hii."The deal was clean" Lets keep watching.
Huu ndio wakati umefika wa Mhe.JK...ku dump yale majitu ambayo ni liability ktk cabinet yake...i've feeling that mkuu wa mafisadi ambaye hata mzee JKN alimtema atakuwa wa kwanza akifunga virago...i bet JK atafanya cabinet reshuffle after kikao hiki cha bunge.
"Serikali ilikuwa na nia njema na Richmond" ....naweza kuiita hii statement ya mwaka 2008!!!
Mimi siamini kabisa kwamba CCM wanataka kumvaa Lowassa. Hii wanayocheza hapa
ni ngoma ambayo tumeiona mara nyingi. Wabunge wataitwa na kutishwa.
Pia hiyo report ya Mwakyembe sitegemei iwe na mawe, jamaa anajitahidi kurudi kwenye mtandao kwa nguvu zote kwahiyo atajaribu njia zote ili report iwe neutral sana sana iwaguse mawaziri lakini sio PM.
Mimi kwenye hili wala sinunui popocorns maana ni picha lile lile ambalo nimeliona mara nyingi likiisha kwa mizengwe.
JK is too weak to sack Lowassa. He is much more committed to their friendship than to the well-being of our country.