BUCHANAGANDE
JF-Expert Member
- Sep 8, 2011
- 1,512
- 480
sasa wewe umeona lowassa ameanza kuisahau ndo unamkumbushia?au unataka kusema kuwa hela anazogawa makanisani ndio za richmond?
Wabeja. Nilijaribu kuitafuta google nikaikosa, kote ilishanyofolewa naSoma mwenyewe.
Mkuu Bukyanagandi ahsante kwa taarifa hii muhimu, mwaka huu na tunako elekea maghamba wana mengi ya kujibu sijui wataficha ficha hadi lini,hatimae mambo yatawekwa wazi hadharani!!!I-download ili uwe na copy yako maana washitakiwa wataifuta muda si mrefu.
I-download ili uwe na copy yako maana washitakiwa wataifuta muda si mrefu.