Ripoti ya Sky News kuhusu Magufuli na COVID-19

Ukiacha hizo takwimu huko kwa wenzetu tulikuwa tunasikia hospitali zimezidiwa kwa wagonjwa na wengine mpaka wakajenga hospitali za dharura na tulikuwa tunasikia hadi sehemu za kuhifadhi maiti zilijaa. Hiyo ndio athari za corona mbali na kujua takwimu.
 

Tunaongelea Corona au Malaria? Tanzania wajinga wengi ni wale wanaofikiri wanajua mambo kama wewe. Sababu mzungu amesema, basi lazima afuatwe, hata kama anachosema hakina tija. Waliojifungia ndani, sasa hivi maambukizi yameenda juu mpaka inatisha.
And yet, bado tunabeza maamuzi sahihi ambayo Uongozi wa Tanzania ulichukua.
 
Na kama kweli kwamba Watu wanadondoka basi hata humu jukwaani Watu wangeadimika.

Hapa ninapoishi Majirani wote wapo fiti, siku nikisikia Majirani Watatu wameaga Dunia kwa kufuatana basi ndio nitashtuka.
 
Una Akili fupi
 
Acha unafiki wewe bwana. Kipindi corona ilipoingia Tz kila mtu aliona idadi ya vifo ikiongezeka regardless ya kile kilichokuwa kikitangazwa. Lakini baada ya ugonjwa kudhibitiwa sasa hivi hata idadi ya misiba mtaani imerejea kama zamani kabla ya corona.

Narudia: Kuweni wazalendo acheni unafiki. Corona imedhibitiwa Tanzania, hata kama mbinu zilizotumika hazijawakosha wafuasi wa mabeberu na mabosi wenu.
 

Na bila shaka tulijua kuwa siyo hatari ndiyo maana tulipuuza tangu mwanzo! Ndiyo maana tukaamua kuacha kupashana taarifa za ugonjwa!
 
Corona tumeimaliza kwa sababu hatukujifungia? Sema tulifanya nini? Maamuzi gani sahihi na nani aliyachukua?
 
M Mbinu zipi zilizotumika? Kwa nini wanaoendelea na corona hawaji kujifunza hapa?
 
Corona tumeimaliza kwa sababu hatukujifungia? Sema tulifanya nini? Maamuzi gani sahihi na nani aliyachukua?
Yes. Hatukuiogopa imesepa zake. Duniani, ni Tanzania na Sweden tu hawakuingiza utapeli wa lockdown.
Angalia US sasa hivi cases zimeongezeka. And all the countries that lied the solution to the pandemic, was lockdown.
Do you what to know what we have done for Corona? Tulimuomba Mwenyezi Mungu atunusuru waja wake maana sio science wala lockdown ingetusaidia
 
Walikuwa wanaloga lakini mwenyezi Mungu kapishana nao ...........
 
Hili la Corona hata Maxence Melo aliungana na mabeberu kufunga ofisi za JamiiForums lakini wabishi tuliendelea na harakati za kuuza mikate stand ya ubungo bila barakoa maana maombi ni zaidi ya barakoa zakishenzi zilizoletwa na mabeberu. Tunamshukuru muumba kwakuwa tuko hai mpaka sasa na vibaraka wa mabeberu wanazidi kuaibika hasa baada ya mabeberu kutuweka ktk orodha ya nchi zenye uchumi wakati wa chini.
 
Wengine hawaombi tena ipasavyo? Mitume wa Yesu walimwomba, bila aibu, awafundishe kuomba. USA na kwingineko wanaona aibu kumwomba yesu JPM awafunze sala ya kutokomeza korona??
 
Hawawezi kurudi tena kuongelea swala hili.

Mabeberu hao hawatutakii mema hata siku moja.

Mshambulizi wetu kaucheza na bao kalifunga... majirani zetu wamebaki kutafuta mpira na mpaka sasa hawauoni
Preta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…