N nkomelo JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 216 Reaction score 44 Mar 13, 2014 #1 Wakuu naweza kupata Wapi taarifa ya tume ya Makweta ya Makweta1982?
M24 Headquarters-Kigali JF-Expert Member Joined Jul 9, 2012 Posts 8,199 Reaction score 8,186 Mar 13, 2014 #2 acha uvivu wewe, nenda pale wizarani muulizie JESTINA MWAKANJUKI atakusaidia. Lakin ujue huyo ni shemeji yako sio ndo uanze kumtongoza tena, maana yake huwa hamchelewi kuanza kuomba namba.
acha uvivu wewe, nenda pale wizarani muulizie JESTINA MWAKANJUKI atakusaidia. Lakin ujue huyo ni shemeji yako sio ndo uanze kumtongoza tena, maana yake huwa hamchelewi kuanza kuomba namba.
DZUDZUKU JF-Expert Member Joined Nov 8, 2012 Posts 3,909 Reaction score 2,115 Mar 13, 2014 #3 Pia unaweza kugoogle. Makweta was a man.