joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
WATETEZI WA HAKI ZA BINADAMU WATOA RIPOTI YA UCHAGUZI
Kwa mujibu wa tafiti zilizofanywa na mashirika kadhaa ya kutetea haki za binadamu katika eneo la Pwani, uchaguzi uliofanyika siku chache zilizopita ulikuwa na dosari kadhaa katika maeneo mbalimbali. Mambo haya yanafanya uchaguzi huo uonekane haukuwa huru na haki.
Watetezi hao wametolea mfano wa Kaunti ya Tanariva ambako inadaiwa kuwa afisa moja wa tume ya IEBC alipatikana akisafirisha sanduku la kura akitumia pikipiki.
Aidha, kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa na Shirika moja la kutetea haki za kibinadamu huria, takribani watu 2000 wanadaiwa kusafirishwa hadi kaunti ya Kwale kwa ajili ya kupiga kura. Hii ni miongoni mwa kaunti zilizo shuhudia vurugu kubwa wakati wa zoezi la kupiga kura.
Madai haya yanapata nguvu baada ya kutokea mgawanyiko mkubwa miongoni mwa maafisa wa juu wa IEBC wakati wa kutangaza matokeo ya mwisho ya mshindi wa u Rais ambapo tume hiyo ilimtangaaza William Ruto aliibuka kidedea kwa kumshinda Raila Odinga.
========
MY TAKE: Hawa ni wakenya wenyewe, sidhani Kama watasikilizwa kwasababu wazungu wameshasifia uchaguzi