Ukipitia Law School unajifunza mambo mengi zaidi ya kufeli au kufaulu. Mustakabali wa NCHI kupitia tasnia hii ya Sheria ni mbaya Sana zaidi ya inavyochukuliwa na wanazuoni pamoja na Jamii Kwa ujumla.
Hakuna hoja inayoweza kuwaondoa hawa wakoloni ambao ni Sawa na Kupe aliye nasa kwenye ngozi ya mnyama.
Labda tukubaliane kwamba waliofaulu Wana uwezo mzuri Sana na waliofeli ni mambumbu Sana tutumie kipimo rahisi Kwa kuangalia tija ya wenye akili ambao wamefaulishwa tulinganishe na waliofeli.
NI ngumu Sana kuelewa matatizo ya Law School mpaka watakapo patikana watu wenye uwezo wa KUCHUNGUZA mambo Kwa kutumia miwani au darubini kwasasa kizazi hiki kiache kipite mpaka kizazi kitakachopigania Uhuru wa NCHI upya kwasababu hayo ni matunda ya Ukoloni mamboleo.