Wakuu,
Ni utaratibu gani wa kuomba kupatiwa ripoti ya uchunguzi wa maiti sababu za kifo chake (Post-mortem examination) kutoka hospital? Mtu kauawa na Dr/Pathologist aliyefanya uchunguzi anasema ripoti hiyo wanapewa polisi tu na kwamba itakuwa kwao kwenye jalada. Je utaratibu ukoje wa haki ya familia kupata ripoti hiyo?