Ripoti ya Uchunguzi wa Maabara: Mashine moja ilikuwa na hitilafu. Upimaji wa COVID19 umehamishiwa katika Maabara mpya iliyopo Mabibo

Nothing credible from this stuff. It was just government rogue strategy to allow switching from the COVID-19 Pandemic conventional response to herd immunity approach to the pandemic, which unfortunately exposes citizens to COVID 19 pandemic wrath. Yet while these guys have let loose citizens to die of COVID-19 themselves are restrictively gulping the Madagascar drink!
Pity.
 
Kwa hiyo sasa tutapata majibu au taarifa za Mwenendo wa Corona nchini?
 
Not long ago you were such a supporter. Imperialists must have gotten to you too.
 
CCM Kuwaelewa ni ngumu sana
Ummi ni mtu hatari sana. Alimuondoa yulevdada wa NIMRI kinafiki, ana tumia ujanja huo huo kumtoa Dada wa maabara kuu kinafiki hivyo hivyo... Kulinda nafasi yake. Simpendi huyu dada tangu bunge la katiba alivyo mponda Jaji Warioba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nilipata soko moja kubwa tu kati ya Masoko makubwa ya Halmashauri DSM. Soko limejaa leo kwa maandalizi ya Eid. Kilichonishangaza hakuna hata muuzaji wa sokoni alivaa Barakoa.

Yale matanki ya kunawa yaliyokuwa yamewekwa na ulinzi kuisimamia kunawa wala sikuiona mlinzi pale wala sikuoona maji tiririka pale. Ukweli ni kwamba serikali ikitamka wananchi wanaaamini. Sasa kama Corona bado kumalizia ni hatari zaidi.
 
Kwann Dar na sio Dodoma??
Kwasababu mradi wa ujenzi wa maabara hiyo umekuwepo hata kabla ya awamu ya 5 kwahiyo wasingeusitisha ilihali ulikuwa katika hatua za mwishoni kabisa,na hawakujua kuwa serikali utakuja hamia Dodoma Kama makao makuu ya Nchi.

Nafikiri hata Dodoma pia itajengwa.
 
Unampima Dar anapata cheti, akifika Chalinze anaukwaa kwenye gesti, akifika Dodoma anakutana nao kwa nyumba ndogo.

Mpaka kufika mpakani amejaa macovid 19 kila mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unampima Dar anapata cheti, akifika Chalinze anaukwaa kwenye gesti, akifika Dodoma anakutana nao kwa nyumba ndogo.

Mpaka kufika mpakani amejaa macovid 19 kila mahali.

Sent using Jamii Forums mobile app
ndo maana tanaambiwa tujifunze kuishi na corona kwa sabababu ugonjwa utakuepo sana tu.
jilinde chukua tahadhari.kuwa makini mpaka mwisho wa safari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hao wanaosema imeisha ..ngoja kesho waende wakaruke ruke...wakiukwaa kwani kuwapiga chepe kuna shida gani.
 
Send your complaints to WHO, if you deem it necessary.
 
Moja ya mabadiliko yanayokuja na corona ni kupungua kwa imani juu ya matamko ya viongozi wa ngazi mbalimbali, wataalamu, na duru za habari ambazo hapo mwanzo ziliweza kuaminika.
 
ndo maana tanaambiwa tujifunze kuishi na corona kwa sabababu ugonjwa utakuepo sana tu.
jilinde chukua tahadhari.kuwa makini mpaka mwisho wa safari

Sent using Jamii Forums mobile app
Point yangu ni kuwa hicho cheti ni nothing, anatakiwa kupimwa mpakani kabla hajavuka boda, vinginevyo ataingia na Corona akiwa na cheti cha negative mkononi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaposema fikra za mwenyekiti unananikumbua matokeo yaliyopo ufipa Leo hali ni mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
The report is very light. I reserve further comments. It is good to have a new machine. We hope to get daily updates on corona victims.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…