Kila ripoti inapotoka kwa CAG ni segere na visingeli wanavyo fanya hawa ccm ndani ya serikali sababu ni chama kipo madarakani hakuna wa kusingizia kama wasemavyo aliyepita kama kapita mbona deni lina ongezeka.
CAG wa kwanza kwa nini kipindi cha kifaa kulindia mageti na milango aliogopa na leo ripoti ni zile zile.
Aliye fanya kujaza na kuharibu uchaguzi uliopita na ngekewa kuangukia kwake bado awezi kukemea.