Polisi itoe ofa ya kusafirisha fedha kwa wanaohitaji kama kuelekea benki ama kupelekwa kwenye kampuni. Just Kampuni ipige simu kwenye idara maalum na kulipa kiasi fulani ili usalama wa fedha na wasindikizaji uwe salama.
Zile kamera za kamanda Kova hazikuona tukio?
Wewe Hishangai Wale Majambazi Wa Ubungo Sio Wale Waliopelekwa Mahakamani Juzi Walikuwa Wanaficha Sura Zao Na Magazeti ? Wale Waliokamatwa Wako Wapi Ile Ni Kesi Kubwa Imeshazimwa Hivi Hivi Hata Waandishi Hawaulizi Tena Saa Hizi Kila Mtu Amesharidhika
Polisi itoe ofa ya kusafirisha fedha kwa wanaohitaji kama kuelekea benki ama kupelekwa kwenye kampuni. Just Kampuni ipige simu kwenye idara maalum na kulipa kiasi fulani ili usalama wa fedha na wasindikizaji uwe salama.
Utakuwa unatafuta kifo kwani kwa kuwaambia polisi mapema kwamba unaomba ulinzi kuna pesa unataka kusafirisha toka sehemu A kwenda sehemu B, Polisi hao hao ndiyo majambazi ama wanapanga mbinu na majambazi kwa kutoa siri hiyo. Hivyo bora kufanya kimya kimya kama wahindi wanavyofanya.
YES,
Kuna polisi wamefika dakika kama 13 baada ya tukio toka kituo cha Airport. Ni eneo ambapo nilikuwa nimesimama nikijaribu kutafakari jambo, lakini baada ya hapo hata jambo lenyewe nikalisahau.
Mara ya kwanza naona jambo kama hili. Inatisha, mpaka naziogopa hela
Pole sana
Usiogope hela, bali ogopa mfumo wa maisha; hela ndizo kipimo cha maisha siku hizi kwa hiyo ukiziogopa utakuwa unaogopa maisha yako mwenyewe. Raia wengi wa nchi za magharaibi wana hela nyingi sana kuliko sisi lakini hawaishi maisha ya wasiwasi kiasi hiki. Dawa ipo kwenye mfumo wa maisha kwa vile ujambazi unashamiri katika mfumo wa maisha unaouruhusu ujambazi ushamiri.
Nilitaka kuchukua picha muda si mrefu hapo afande mmoja akaniomba nisifanye hivyo kama sina kitambulisho kama mwandishi wa habari.
Kimeo...