Rise and Fall of Cynthia & Richard Mziray

Status
Not open for further replies.

Tatizo pesa inatakiwa kuzunguka sio kukaa tu.kwanza ushuru wa kumiliki hizo ndinga ni balaa.pia show off zikizidi lazma upate tabu haswa kama huna chanzo stable cha mapato.ushawahi kuona wale matajiri wa Arusha wanaingia bar na kugawa ofa kipumbavu?!jibu ni hapana mpaka walimwengu wanaanza kuwakashfu kuwa pesa zao ni.za uganga kumbe wale wanajua ukiwa milionea unatakiwa uwe bahili ili uendelee kuwa juu.pole yao
 
Huyo Cynthia anatumia jina gani instaglam? Au mwenye namba zake? Labda naweza kuambulia chochot e kitu?
 
Kumbukumbu zangu zinanituma kuna thread humu kwamba jamaa sasa hivi yupo kwenye kipub moja mjini kazi yake kuosha sahani na kufukuza nzi mezani
 
Hawa watakua walitumia mali bila daftari ikapotea bila habari
 
Hawa jamaa walitisha kwakweli naskia walikua wame rent mbezi dola elf 5 kwa mwezi nliskiaga wamehamia mwanza kipindi flani
 
Ukiishi maisha yale ya akina Mziray siku ukifulia lazima watu waongee sana.....
 

Wako under the radar! Mi namfollow Cynthia Insta, bado anajimwaga kwenye jiswimming pool la nje kwake. Ujue ukiwa juu ya radar mara nyingi huwezi kufanya la maana, kidogo umewekwa mtu kati. Mfano Mrs Sembe, kindoa kidogo matangazo mengiiiiii, miaka 2 mingi ashapigwa mtungo, vihela vyote kwishaaaaa. Bongo watu nuksiiii. Watakaa under the radar kama hivo, then watakuja kufanya kufuru moja, na kurudi under the radar.
 
Do you my ninja.

And stop snooping so much about other peoples lives.

Lest you wont find time to live your own.

Schadenfreude is the high end of malice.
 

Ngoja nikusahihishe mkuu ubahili ni sifa ya maskini maana ubahiri ni kujibana bana sana, sifa za milionea ni kwamba kama unatumia milioni hakikisha umeingiza zaidi ya milioni 1..i.e umeingiza milioni 3 unatumia milioni moja ubahiri ni kuingiza milioni 3 na kutumia elfu 60 kwa kifupi kama unafanya expense hakikisha una asset ya kucover hiyo expense...
 
jamaa anakeraga huyu

Be specific. Niliyemuuliza swali hajajibu bado wewe unakukuruka huku. Tufahamishe basi maana jamaa kasema hela waliyo kuja nayo ilitakiwa iishe after 7yrs!! Inawezekana yeye ndo mshauri wao wa mambo ya fedha!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…