Rise and Fall of Cynthia & Richard Mziray

Status
Not open for further replies.
Do you my ninja.

And stop snooping so much about other peoples lives.

Lest you wont find time to live your own.

Schadenfreude is the high end of malice.

querulous............
 
weka jina analotumia Rothrock insta na la Mrs Sembe Randy Savage
 
Be specific. Niliyemuuliza swali hajajibu bado wewe unakukuruka huku. Tufahamishe basi maana jamaa kasema hela waliyo kuja nayo ilitakiwa iishe after 7yrs!! Inawezekana yeye ndo mshauri wao wa mambo ya fedha!

Yeah,believe dat,walikuja na umate umate wa kufa mtu,hiyo ya miaka 7 kama wakitumia kwa siku milioni moja.
 
Time flies generation change and things dont remain the same

Miaka ya 90's ukiitwa kijana wa mjini una ujanja fulani sio una nini au baba uwezo wa babako.

Wale wote waliokuwa wakali miaka hiyo sasa hivi wana maisha waliopiga unga ndio ma-don, waliokuwa mabitozz ndio ma CEO au wana nafasi nzuri kwenye makazi yao, waliokuwa wasomi ni madokta wakubwa, mission town wengine waliingia siasa na sasa hawana habari nazo tena na waliokuwa wapambe bado wapambe atleast sasa hivi kwa matajiri wenye hela.

Siku hiizi hata Jokate dada wa mjini miaka hiyo Jokate angekuwa mtoto wa kishua tu wajanja wanapiga deal wanakula vipi change ya biashara yake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…