Rise and fall of udsm


Unajua hata nyie sometimes tunawaona shalo sana kwa maswali mnayo uliza??.
 
Unajua hata nyie sometimes tunawaona shalo sana kwa maswali mnayo uliza??.

Wewe Kenge nina BA Economics 1st class (UDSM 1991) na Masters - London School of Economics also with flying color. So I can never be shallow

UDSM kwisha habari yake sasa hivi, u better go for open universities.
 
Umesoma SUA nini? Nina wasiwasi utakuwa na Div 3 advance, make Division 1 nzuri zinaishia UDSM, Mzumbe na Muhimbili.

Wewe kenge nimemaliza UDSM 1991 - BA Ecomics 1st Class and I connected to London school of Economics for a Masters degree which I did very well. So sio mtu wa Div 3. Kikubwa mkubali kuwa elimu imeshuka sana sana, you better go for open universities
 

Mkuu,

Napingana na wewe. Moja, tunao maprofesa na P.HD holders wengi Tanzania. Tatizo ni kwamba wengi wamekimbilia kwenye siasa. Wengine wameamua kufanya kazi nje ya nchi kwa sababu mbalimbali. Pili, kuwa profesa or Dr. haina maana kuwa utakuwa lecturer mzuri. Hili ni tatizo kubwa sana pale UDSM. Kwa vile mtu amefanukiwa kupata Ph.D basi anahisi atakuwa lecturer mzuri. Kufundisha ni taaluma na ina skills zake. Na sio lazima uwe profesa au Dr. ndio uwe lecturer. Kuna malectuters wana masters tuu na wanajua kufundisha vizuri kuliko hao maprofessa. Unaweza kuwa na Ph.D lakini usiwe na sifa za kufundisha. Ndio maana pale UDSM unakuta malecturer wengi wanashuka tuu theory without any practical inputs.
 
Wewe Kenge nina BA Economics 1st class (UDSM 1991) na Masters - London School of Economics also with flying color. So I can never be shallow

UDSM kwisha habari yake sasa hivi, u better go for open universities.

ha haha haa, wewe si msomi ila umekariri sana, na unaweza piga mtu siku ya interview. Ndio maana nimekuona kama shallow. Ba economics, 1st class, london school in economics si vigezo nya ubora wako wa kazi.
 

Ndugu yangu kwa sasa unapaswa kujua kuwa wahadhiri wa vyuo vya umma hawalipwi vizuri,ndio maana mwaka jana waligoma,ni maslah tu
 
anney, unaijua UDOM?

Elimkwanza ulidisco nini?ndo ukaenda vyuo vingne,nadhani unaelewa kuwa prospectus imeweka bayana kuwa kuna discontinue endapo hujatimiza vigezo hata kama upo mwaka wa 5,si engineer tu hata Fakat of Law kuna m2 alidisko coz alifeli?unataka waende hvyohvyo?au udom ndio utaratibu wenu,nenda sua kaulizb hakuna wanaodisco?kama wewe ni mhadhiri na unawafaulisha wanafunz though hawana vgezo basi unaliandaa bomu,Kwa sasa hata serikali imekisahau kile chuo,koz ya utash wa kisiasa,nenda google angalia udsm ni chuo cha ngapi kwa africa?sidhan kama udsm ndo wanaopanga link hzo,pia utambue kua vyuo vye2 vya umma vina uhaba wa vitabu,ukienda library ni ishu kupata vitabu,bt tatizo ni bajet wanazopangiwa,hata udom wanakabiliwa,nenda idara ya kiswahili,
Kuhusu suala la wizi hayo ni mambo binafsi.hata uhuni pia ni mambo binafsi,wahuni wapo kila mahali,na uhuni unatokana na mambo meng,hayo ni mambo ya kisaikolojia zaidi.Pia udsm inashndwa kuchukua wanafunz weng kwa7bu ya malazi o akomodesheni,lakini kwa mastaz udsm wanamchukua hata mwenye gpa ya 2.8 so uctoe vcngzio tafuta hela ukasome,na ada haizid mil 4 kwa baadh ya koz
Pia tambua kuwa kwa ujumla nchni watu wanaosoma mastaz ni wachache coz ya gharama,so its better watu wakasom.
UDOM NI TAASIS AMBAYO VIJANA WANAWAELEKEZA VIJANA WENZAO KUWA WATU WAZIMA
 
Tatizo kubwa kwa vijana wa sasa ni uvivu wa kusoma, na hii ni kwa vyuo vikuu vyote. Vijana musipende starehe kabla ya wakati someni kwanza.

Na kwa nini tusichukuwe walimu kutoka nje ili kuboresha elimu yetu? Mimi nimesoma UDSM kwenye miaka ya sabini na tulikuwa nao walimu kutoka nje, mfano Statistics tulifundishwa na mwalimu Mkenya.

Sasa iweje leo isiwezekane?

Vile vile walimu wako kwenye harakati za kutafuta pesa kwa kufanya consultancies nyingi kwa mwaka na muda mdogo ndiyo wanatoa kwa wanafunzi. Hii inaonyesha system yetu ina walakini na inahitaji kurekebishwa.
 

Biti mkongwe hapo umenena,
 
Wewe Kenge nina BA Economics 1st class (UDSM 1991) na Masters - London School of Economics also with flying color. So I can never be shallow

UDSM kwisha habari yake sasa hivi, u better go for open universities.
Do you also happen to have a PhD from Cornell University? Kama nakufahamu vile.
 
Wewe Kenge nina BA Economics 1st class (UDSM 1991) na Masters - London School of Economics also with flying color. So I can never be shallow

UDSM kwisha habari yake sasa hivi, u better go for open universities.

Duuh kumbe kijeba halafu hakina busara, anyway tundelee na mada
 
Wewe kenge nimemaliza UDSM 1991 - BA Ecomics 1st Class and I connected to London school of Economics for a Masters degree which I did very well. So sio mtu wa Div 3. Kikubwa mkubali kuwa elimu imeshuka sana sana, you better go for open universities

Hee kumbe first kilasi na mastaz havijakukomboa?au uingereza ndo wamekufundisha kumwita bnadam mwenzio kenge?it seemz ni m2 mzma bt unethical man,pole sana,nina waswas hata wanao unawaita KENGE
Elim si majgambo,utendaji,naic HUJAELIMIKA.
N WAY 2ENDELEE NA MADA MR FESTICLAS
 
Kwa kweli kwa swali nililopose hapo juu na majibu ninayoyaona si ya kujenga, nahitaji majibu ya kujenga. Eti Mukandala kaweka maswahiba wake kaondoa wa Luhanga? Una maana Luhanga naye alikua na wasaidizi maswahiba? Pili ni nani anayeteua wasaidizi(deputy vice chancellors)? ni VC, Chancellor au Council? Nimemsikia Mukandala mara kadhaa katika speech zake akisema kusudio la UDSM ikiongozwa na BARAZA la chuo kuongeza postgraduate students na kupunguza undergraduates lakini serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inasisitiza chuokuendelea kudahi wanafunzi wa undergraduate kwa kigezo kuwa vyuo vingine havijawa na nguvu ya kutosha kuzalisha wataalamu wa kutosha kwa taifa hili, pili hakuna chuo kikuu chochote kinachofundisha postgradutes pekee? Jamani tusiweke siasa za uchama kwenye hii forum kama kweli ya Jamii. Lets be rational for the National interest. Nashangaa mtu amesoma UDSM au IFM alfu leo anajisifu eti aliposoma yeye chuo kilikua kizuri ila sasa kimeharibika while amegraduate 2000s. tuache ushamba wa Uud na Uchuo fulani. kwangu mimi mjadala huu ukiendelea hivi ndivyo hata nchi inavyojadiliwa inazidi kudidimia.
 
Wewe Kenge nina BA Economics 1st class (UDSM 1991) na Masters - London School of Economics also with flying color. So I can never be shallow

UDSM kwisha habari yake sasa hivi, u better go for open universities.

acha mkwara wewe na kielimu chako mbuziii..goto lenyewe unaonekana huna....nyie pigeni kelele na vielimu vyenu vya sijui london skul of hygiene sijui nn nn na performance zenu kazini watu kama nyie huwa ni sifuri cuz' unakuwa unadhani hiyo first class yako na hicho kimasters mbuzi chako is everything ukiambiwa hata kuandika ripoti ya kazi huwezi...uwe umesoma london, udom, udsm, sua sijui wapi wapi sie twataka performance na goto tuu..kwishnei..
 
The FALL of UDSM is a continuation of the downfall of public institutions! Taasisi za umma zote iwe elimu, afya, huduma nyingine etc etc zinazotegemewa na Watanzania masikini walio wengi who have no alternative, zinazidi kuporomoshwa na no body cares coz kama elimu they can afford to send their kids somewhere to get quality education, and if it is health they can afford to go to South Africa, India etc etc Its just a continuation of the conspiracy to keep the poor people down! They'll get poor education, poor health services, poor living conditions,etc etc and remain poor forever! Watoto wa wakulima hawana mtetezi!
 
The FALL of UDSM is a continuation of the downfall of public institutions! Taasisi za umma zote iwe elimu, afya, huduma nyingine etc etc zinazotegemewa na Watanzania masikini walio wengi who have no alternative, zinazidi kuporomoshwa na no body cares coz kama elimu they can afford to send their kids somewhere to get quality education, and if it is health they can afford to go to South Africa, India etc etc Its just a continuation of the conspiracy to keep the poor people down! They'll get poor education, poor health services, poor living conditions,etc etc and remain poor forever! Watoto wa wakulima hawana mtetezi! Performance itaachaje kuwa mbaya wakati chumba kimoja mnalala watu nane, library haina vitabu, lecturer hakuna anayemaliza syllabus,then hawafundishi, its just a conspiracy and neglect by the ruling class.
 
Umesoma SUA nini? Nina wasiwasi utakuwa na Div 3 advance, make Division 1 nzuri zinaishia UDSM, Mzumbe na Muhimbili.

Not now my friend na kwa taarifa yako kozi za SUA haziingiliani kabisa na UDSM,na hiyo ilikuwa mtizamo wa wanafunzi kuipenda UDSM(enzi zile)so competition ikawa kubwa.Hata pale UDSM mfano kozi ya computer science ilipoanza kila mtu alipenda asome hiyo ikasababisha competion na wenye div 1 point 3-5 ndiyo walikuwa wakichukuliwa lakini leo ndivyo sivyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…