"Risk It All"

chakula cha watoto

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2023
Posts
539
Reaction score
1,507
Wabongo wengi hawawez kutake risk ili wafanikiwe kwenye maisha Yao, wanapenda ulaini laini mserereko. Ukitaka kupata vitamu lazima utoe jasho ndio mana wanasiasa wanakula pesa zenu ovyo na kuuza nchi maana wanajua nyie risk ya maandamano hamuwez

Wasomali, Wanigeria, wahaiti, Wamexiko na Wakenya wanajilipua sana mambele ulaya na marekani kutafuta maisha ila nyie mnasubiri koneksheni sebleni Kwa mama ako unataka ikufate connection. Waarabu kutoka Libya wanavuka bahari Kwa mitubwi mpaka wanafika Ulaya hata kama wakafia baharini lakini wamejaribu kuliko wewe muoga kamwe hutakuja fanikiwa

KWENYE maisha lazima uweke Roho mkononi ukindondoka tu umekufa ila ukifika salama umeula. Sasa wabongo waoga sana

NB: Ukisikia mlio wa risasi ujue imekukosa
 
Walio fanikiwa hawana muda wa kuandika maneno mepesi hivi hebu chukua hatua ww kwanza alafu wengine wafuate. Mnaoongea hivi mara nyingi hata familia zenu zinaishi kwa kudra hapa hapa bongo tutapiga mishe zetu na mkwanja utakaa mfukoni nje tutaenda kutembea tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…