Ngurumbizi
Member
- Aug 8, 2011
- 97
- 114
🤣🤣🤣🤣 yaani unaweka LBL 9M ..? SeriouslyWale tuliowahi kupigwa na Ponzi schemes, majasiri tukumbushane machungu kidogo.
Mimi nishalizwa na DECI na LBL.
DECI kama 1.2m na
LBL kama 9m hivi.
Sikio la kufa...🤣🤣🤣🤣 yaani unaweka LBL 9M ..? Seriously
Sikio la kufa🤣🤣🤣🤣 yaani unaweka LBL 9M ..? Seriously
Watu tumekula chumviKama ulilizwa na deci mkuu wewe ni mkongwee sana.