Risk za kuwa mtu wa stores

njoro

Senior Member
Joined
Dec 21, 2010
Posts
178
Reaction score
8
wadau, kuna kazi ya kuwa stores officer nime-apply, je risk zake ni zipi?
 
Mkuu sitaki unielewe vibaya but this is a most stupid question

Unless uniambie unabebwa na hujasomea fani hii kabisa, namaanisha totally you know nothing about it

Samahani sana mkuu kama nimekukwaza
 
Mkuu sitaki unielewe vibaya but this is a most stupid question

Unless uniambie unabebwa na hujasomea fani hii kabisa, namaanisha totally you know nothing about it

Samahani sana mkuu kama nimekukwaza
mkuu paulss hebu niambie ulifikia wapi na kale kamkasa chetu cha mapacha
the father of 4 ,watoto hawajambo??????????
 
Last edited by a moderator:
we ni pi*bi hebu google huko
 
Ukitafuta sana chanzo cha mkia, utashika 'mbolea'!
We kafanye kazi kama umesomea bana!
Risk za kazi fulani/yoyote ni dhana pana mno, ni relative, na context dependent!
Mtu wa stores wa Tanesco ana'face challenges tofauti na yule aliyeajiriwa stoo ya misheni kwa Baba Paroko!
 
mkuu paulss hebu niambie ulifikia wapi na kale kamkasa chetu cha mapacha
the father of 4 ,watoto hawajambo??????????
du! kaka unafuatilia sio mchezo!

au yule dada wa mapacha ni nduguyo? so unamchokonoa mshkaji ili uje umbane?
tehtehteh
 
usijisumbue bure kupoteza muda wako maana hata ukiitwa interview hutapita kwa u-shallow ulionao, Kama kuna wa kukubeba ili upate kazi hiyo ongea nae akubebe hata baada ya risk za stor ku-mature.
 
Risk ni kubwa mno. Yaani hata wakikuita kwenye Interview usiende!!!!!!!!
Manake ni Risk kubwa sana kufanya kazi ambayo hujui risk zake.......
 
Kama unaona post ni ya kijinga usijibu, ukijibu na we ni njinhga vile vil;e
 
Risk kubwa kama wewe ni mlevi kupindukia(kama inavyoonye) siku moja aweza fungiwa stoo nawewe ukalala humo kama mizigo unayotunza .
 
Achana na hiyo kazi maana nshaona kama sio kifungo ......... kuna balaa zaidi ya ilo mkuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…