nyigo Jn. JF-Expert Member Joined Sep 21, 2015 Posts 269 Reaction score 94 Feb 13, 2016 #1 Wanajamvi naombeni kujua risk za kuwatumia madalali katika biashara hususani ya kuingiza mazao kama vile ndizi na viazi kutoka mkoani kuleta dar es salaam
Wanajamvi naombeni kujua risk za kuwatumia madalali katika biashara hususani ya kuingiza mazao kama vile ndizi na viazi kutoka mkoani kuleta dar es salaam
Malumbo wa ngullo JF-Expert Member Joined Oct 22, 2015 Posts 3,246 Reaction score 11,011 Feb 13, 2016 #2 " risks ya kwanza mzigo utachelewa kutoka kutokana na dalali kuuza bei a juu tofauti na unavoelewa wewe... "
" risks ya kwanza mzigo utachelewa kutoka kutokana na dalali kuuza bei a juu tofauti na unavoelewa wewe... "