Nliomba cheti kipya kwenye mfumo wa RITA tarehe 7/5/2026 kwa ajili ya verification na mpaka leo hii 23/6/2026 sijapewa mrejesho kama rejected or? na nlisubiria maombi yarudishwe ili nirekebishe attachment nliyoweka awali lkn mpaka sasa hawajarejesha na nmeshindwa kufanya baadhi ya procedures zinazonihitaji cheti changu cha kuzaliwa
(RITA improve your services, kuautomate mifumo we expect kupunguza msongamano na kuharakisha huduma lkn kwenu imekuwa vice versa na haina impact yoyote)