huskryderz
Member
- Dec 23, 2011
- 29
- 34
Hello Wadau,
Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili.
Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu, nikakutana na afisa mmoja wa RITA ambaye sikufanikiwa kupata jina lake. Nilimuuliza kuhusu huduma niliyohitaji na ni wapi ningeweza kupata msaada au kusikilizwa.
Jibu nililopewa na afisa huyo lilikuwa: “Watoa huduma sasa hivi hawapo, wameondoka. Hii huduma uje kesho, kwani watoa huduma wameenda nyumbani.”
Cha kushangaza, wakati ananieleza hivyo ilikuwa ni takribani saa sita kasoro. Nikauliza imekuwaje watoa huduma wameondoka saa tano na kwenda nyumbani, ndipo afisa huyo akanieleza kuwa:
“Wanaotoa hizo huduma wana watoto wadogo, hivyo wamekwenda kunyonyesha. Watakuwepo kesho asubuhi.”
Hili limenifanya nijiulize maswali mengi sana. Je, ina maana kuna baadhi ya huduma ndani ya RITA ambazo zinazingatia ratiba binafsi za wafanyakazi badala ya ratiba rasmi ya taasisi?
Pia, kama sababu ya kutokuwepo kwa watoa huduma ni kwamba wamekwenda kunyonyesha, je, ina maana kitengo kinachotoa huduma hiyo kimeajiri wanawake pekee, au wafanyakazi wa jinsia moja tu? 😔
Naamini suala hili linahitaji kuangaliwa na kupewa majibu, kwa sababu wananchi wanapofika kwenye taasisi za serikali kwa ajili ya huduma, wanategemea kupata huduma kwa mujibu wa muda na taratibu rasmi za taasisi.
Unaonekanq wewe ni mgeni sanq kwenye taasisi za serikali. Yote ya yote tunashkuru sana kwa mambo kuhamia mtandaoni bila ya hivyo tungeteseka sana na masijala. Ifike muda hata vyeti vya physical visitolewe tena viwe ni digital copy tu.Hello Wadau,
Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili.
Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu, nikakutana na afisa mmoja wa RITA ambaye sikufanikiwa kupata jina lake. Nilimuuliza kuhusu huduma niliyohitaji na ni wapi ningeweza kupata msaada au kusikilizwa.
Jibu nililopewa na afisa huyo lilikuwa: “Watoa huduma sasa hivi hawapo, wameondoka. Hii huduma uje kesho, kwani watoa huduma wameenda nyumbani.”
Cha kushangaza, wakati ananieleza hivyo ilikuwa ni takribani saa sita kasoro. Nikauliza imekuwaje watoa huduma wameondoka saa tano na kwenda nyumbani, ndipo afisa huyo akanieleza kuwa:
“Wanaotoa hizo huduma wana watoto wadogo, hivyo wamekwenda kunyonyesha. Watakuwepo kesho asubuhi.”
Hili limenifanya nijiulize maswali mengi sana. Je, ina maana kuna baadhi ya huduma ndani ya RITA ambazo zinazingatia ratiba binafsi za wafanyakazi badala ya ratiba rasmi ya taasisi?
Pia, kama sababu ya kutokuwepo kwa watoa huduma ni kwamba wamekwenda kunyonyesha, je, ina maana kitengo kinachotoa huduma hiyo kimeajiri wanawake pekee, au wafanyakazi wa jinsia moja tu? 😔
Naamini suala hili linahitaji kuangaliwa na kupewa majibu, kwa sababu wananchi wanapofika kwenye taasisi za serikali kwa ajili ya huduma, wanategemea kupata huduma kwa mujibu wa muda na taratibu rasmi za taasisi.
kwamba wamekwenda kunyonyesha, je, ina maana kitengo kinachotoa huduma hiyo kimeajiri wanawake pekee, au wafanyakazi wa jinsia moja tu? 😔
Sa kama top management ya taasisi imejaa hao unategemea nini?
Mbona umeficha RITA ofisi gani?.Makao makuu, mkoa/Wilaya gani?..Hello Wadau,
Naomba tusaidiane kupaza sauti kuhusu suala hili.
Leo nimefika Registration, Insolvency and Trusteeship Agency (RITA) kwa ajili ya kupata huduma. Nilifika ghorofa ya tatu, nikakutana na afisa mmoja wa RITA ambaye sikufanikiwa kupata jina lake. Nilimuuliza kuhusu huduma niliyohitaji na ni wapi ningeweza kupata msaada au kusikilizwa.
Jibu nililopewa na afisa huyo lilikuwa: “Watoa huduma sasa hivi hawapo, wameondoka. Hii huduma uje kesho, kwani watoa huduma wameenda nyumbani.”
Cha kushangaza, wakati ananieleza hivyo ilikuwa ni takribani saa sita kasoro. Nikauliza imekuwaje watoa huduma wameondoka saa tano na kwenda nyumbani, ndipo afisa huyo akanieleza kuwa:
“Wanaotoa hizo huduma wana watoto wadogo, hivyo wamekwenda kunyonyesha. Watakuwepo kesho asubuhi.”
Hili limenifanya nijiulize maswali mengi sana. Je, ina maana kuna baadhi ya huduma ndani ya RITA ambazo zinazingatia ratiba binafsi za wafanyakazi badala ya ratiba rasmi ya taasisi?
Pia, kama sababu ya kutokuwepo kwa watoa huduma ni kwamba wamekwenda kunyonyesha, je, ina maana kitengo kinachotoa huduma hiyo kimeajiri wanawake pekee, au wafanyakazi wa jinsia moja tu? 😔
Naamini suala hili linahitaji kuangaliwa na kupewa majibu, kwa sababu wananchi wanapofika kwenye taasisi za serikali kwa ajili ya huduma, wanategemea kupata huduma kwa mujibu wa muda na taratibu rasmi za taasisi.
Halafu wote wagalatia wenzetu.😢Imagine, cheti kimetolewa na RITA miaka kadhaa nyuma leo wanasema cheti sio sahihi kuwa Invalid, wanataka ufanye maombi ya cheti upya badala ya wao kufanya update ya taarifa za wateja na kuwapatia cheti kipya, nadhani RITA kuna changamoto kubwa sana inatakuwa kuwa addressed na hii ni moja ya Ofisi za serikali zenye matatizo makubwa sana!
View attachment 3681048
Hapa huwezi kuskia kelele za udini.
HahahahahaaaaaHapa huwezi kuskia kelele za udini.
Ila tungekua kobazi tupu huu uzi ungekuwa page ya 3000.
Duh hio kwaya ni kutoka parokia gani ?
Rita hakuna mirija, kwenye mirija lazima ukute kobaziHapa huwezi kuskia kelele za udini.
Ila tungekua kobazi tupu huu uzi ungekuwa page ya 3000.
Mkiambiwa wanawake ni shida serikalini mnabishaHello Wadau,