DOKEZO RITA Kibaha imchunguze mtendaji wake huyu anayetengeneza mazingira ya rushwa

DOKEZO RITA Kibaha imchunguze mtendaji wake huyu anayetengeneza mazingira ya rushwa

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mamlaka ichunguze kwa ukaribu huduma zinazotolewa na Ofisi za RITA Kibaha. Kuna mtumishi anaitwa shabani anatengeneza mazingira ya rushwa katika kutoa huduma. Amekuwa ni mtu wa kuweka vikwazo visivyo na maana ili tu ku justfy uhuni wake
 
Hivi huku kibaha kuna shida gani? Hata ofisi ya uhamiaji kibaha malalamiko nayo huwa ni mengi sana.
 
Kumekucha..mbona jamaa yupo peace sana..amekukwaza nn mkuu
 
Rita sijui ina matatizo gani? Ifakara wamenisumbua mimi kwenye cheti cha kifo mpaka nimeachana nao.
 
Back
Top Bottom