A Anonymous Guest Mar 6, 2025 #1 Mamlaka ichunguze kwa ukaribu huduma zinazotolewa na Ofisi za RITA Kibaha. Kuna mtumishi anaitwa shabani anatengeneza mazingira ya rushwa katika kutoa huduma. Amekuwa ni mtu wa kuweka vikwazo visivyo na maana ili tu ku justfy uhuni wake
Mamlaka ichunguze kwa ukaribu huduma zinazotolewa na Ofisi za RITA Kibaha. Kuna mtumishi anaitwa shabani anatengeneza mazingira ya rushwa katika kutoa huduma. Amekuwa ni mtu wa kuweka vikwazo visivyo na maana ili tu ku justfy uhuni wake
Mindyou JF-Expert Member Joined Sep 2, 2024 Posts 1,869 Reaction score 4,877 Mar 8, 2025 #2 Hivi huku kibaha kuna shida gani? Hata ofisi ya uhamiaji kibaha malalamiko nayo huwa ni mengi sana.
sheremaya JF-Expert Member Joined Mar 22, 2015 Posts 3,334 Reaction score 7,651 Mar 8, 2025 #3 Kumekucha..mbona jamaa yupo peace sana..amekukwaza nn mkuu
Mtili wandu JF-Expert Member Joined Dec 15, 2012 Posts 8,257 Reaction score 11,499 Mar 8, 2025 #4 Rita sijui ina matatizo gani? Ifakara wamenisumbua mimi kwenye cheti cha kifo mpaka nimeachana nao.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Mar 8, 2025 #5 Dokezo
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Mar 9, 2025 #6 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw