A
Anonymous
Guest
RITA Korogwe kuna shida kupata cheti cha kuzaliwa ulichoomba online na kuwa approved na kuthibitishwa kipo tayari, kukipata utazungushwa nenda rudi bila kujali unatoka mbali tena vijijini na umetumia gharama kubwa kukifata.
Soma Pia: RITA ni tatizo, wiki ya tatu sasa vyeti vya wanangu havijahakikiwa; nimelipa Tsh 12,000 kwa vyeti viwili lakini majibu sijapata
Soma Pia: RITA ni tatizo, wiki ya tatu sasa vyeti vya wanangu havijahakikiwa; nimelipa Tsh 12,000 kwa vyeti viwili lakini majibu sijapata