RITA kweli kabisa mmeshindwa kujenga fensi ofisi zenu zilizopo Posta?

RITA kweli kabisa mmeshindwa kujenga fensi ofisi zenu zilizopo Posta?

Ile fence ya mabati karibu na ofisi za RITA wala haina uhusiano na RITA, ile fence imezungushwa kwenye kiwanja palipobomolewa Club Billicanas
Atakuwa mgeni hapo Jiji la Chalamila.majengo marefu asilimia kubwa hapo mjini kati hayana fensi kutokana ufinyu wa viwanja.
 
Yale mabati pale sidhani kama yapo kiwanja hicho cha RITA. Zamani ilikuwa Billcanas sahivi naona watu wana park magari tu.
 
Back
Top Bottom