RITA mnakwamisha zoezi la kuapply mkopo elimu ya juu

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Kuna sababu gani yakutumia wiki nzima au wiki mbili kabisa kufanya verification ya cheti cha kuzaliwa?
Kwamba muombaji asubiri hadi hizo wili mbili au moja ndio aendelee kufanya application kweli? Huu ni uzembe mkubwa.

Wadau ninyi mmefanikiwa kuverify vyeti vya kuzaliwa?
Toka tarehe 2 hadi leo tarehe 12 na hakuna taarifa daah
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…