KERO Rita Morogoro wapo korido za jengo la DC Morogoro lakini rushwa waziwazi kupata vyeti vya kuzaliwa/kifo

KERO Rita Morogoro wapo korido za jengo la DC Morogoro lakini rushwa waziwazi kupata vyeti vya kuzaliwa/kifo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

TRAT

Member
Joined
Nov 29, 2022
Posts
73
Reaction score
160
Wahudumu watoa vyeti bila rushwa utaambiwa; kalete status, mara let's risiti, mara mfumo wa ku-print vyeti unasmbua, baadae njoo kesho. Ukija kesho yake watakuambia njoo jumatano au ijumaa ndiyo tunatoa vyeti.

Mwisho watakuambia mfumo unasmbua. Wahudumu wanatembea na rushwa waziwazi wakigawa vyeti Kwa wanaotoa rushwa.

Kuta zote zimejaa matangazo ya maelezo. Mwisho wa siku tarehe 31/080 Heslp wamefunga dirisha la Mikopo.
 
Wahudumu watoa vyeti bila rushwa utaambiwa; kalete status, mara let's risiti, mara mfumo wa ku-print vyeti unasmbua, baadae njoo kesho. Ukija kesho yake watakuambia njoo jumatano au ijumaa ndiyo tunatoa vyeti. Mwisho watakuambia mfumo unasmbua. Wahudumu wanatembea na rushwa waziwazi wakigawa vyeti Kwa wanaotoa rushwa. Kuta zote zimejaa matangazo ya maelezo. Mwisho wa siku tarehe 31/080 Heslp wamefunga dirisha la Mikopo.
Rushwa ilishakuwa normalized, what sad is wananchi wamezoea wakati ni very very wrong
 
Nchi hii kwa rushwa ni kama imeidhinishwa kiaina. Wakiona uelewi namna ya kushirikiana nao watakufundisha namna ya kuwaelewa kwa kukuzungusha na kukupa visingizio kibao mpaka utafungua pochi.
 
Makonda kwa kwenda field na kujionea kero ziilivyojaa hata Arusha mkoa watu wanaojitambua. Ndiyo maana kaona kumaliza kero ni kuwa Waziri Mkuu. awashughulikie wazembe.
 
Ukienda ofisi ukakuta Kuta zimejaa matangazo ya maelezo. Mara hatupokei rushwa n.k. Jua hapo bila rushwa hakuna huduma.
 
Back
Top Bottom