Masalu Jacob
JF-Expert Member
- Jul 26, 2017
- 1,013
- 1,183
Habari Tanzania !
Habari Jamii salama !
Ninaombi au wazo kwa taasisi inayohusika na utoaji kadi za kliniki na cheti cha kuzaliwa.
Wazo langu ni kuwa wazazi wanapokuwa wajawazito wapewe hayo makaratasi (kadi ya kliniki) ila wanapo bahatika kujifungua wapewe kadi maalumu (Birth Card) ifanane na kitambulisho cha taifa (National ID) hii ndio itumike kama cheti cha kuzaliwa mtoto na pia ndio iwe cheti cha kuzaliwa mtoto almaarufu kama (cheti cha kuzaliwa) humo ndani kiwe na taarifa za majina yote mfano mlivyoboresha kwenye mifumo yenu ya sasa ya uombaji cheti cha kuzaliwa. Maana kuwa na mkaratasi mkubwa (cheti cha kuzaliwa) naona kama ushamba na kujiweka nyuma kimaendeleo.
Endapo mkiona inafaa, karibuni sana.
Nawapenda sana.
Asalaamu.