desayi JF-Expert Member Joined Aug 27, 2017 Posts 3,593 Reaction score 5,848 Aug 25, 2021 #21 CHIZI VITABU said: kocha wao analia muunganiko wa team anataka miezi mitatu wako bize kumshangilia manara kwamba atawafikisha nusu fainali ya afrika Click to expand... Hao utopolo ni team ya vilaza manara kawatukana ila kaenda kula maisha wakati kina nugaz hata mshahara hawana Sent using Jamii Forums mobile app
CHIZI VITABU said: kocha wao analia muunganiko wa team anataka miezi mitatu wako bize kumshangilia manara kwamba atawafikisha nusu fainali ya afrika Click to expand... Hao utopolo ni team ya vilaza manara kawatukana ila kaenda kula maisha wakati kina nugaz hata mshahara hawana Sent using Jamii Forums mobile app
M mullo gabriel Member Joined Aug 3, 2021 Posts 70 Reaction score 76 Aug 25, 2021 #22 umekunywa kwani
Kichwa Kichafu JF-Expert Member Joined Apr 13, 2017 Posts 44,855 Reaction score 189,385 Aug 25, 2021 #23 Kuna watu wanateseka aisee! Sasa hadi unafatilia sajili za walevi.
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,292 Reaction score 15,250 Aug 26, 2021 #24 njaakalihatari said: atleast siyo batiki wala hazina silhoutes za wamama wajawazito Click to expand... Umeona wapi Batiki inauzwa 35,000/=?
njaakalihatari said: atleast siyo batiki wala hazina silhoutes za wamama wajawazito Click to expand... Umeona wapi Batiki inauzwa 35,000/=?
demigod JF-Expert Member Joined Jan 2, 2015 Posts 8,292 Reaction score 15,250 Aug 26, 2021 #25 Kichwa Kichafu said: Kuna watu wanateseka aisee! Sasa hadi unafatilia sajili za walevi. Click to expand... Oya mbona una mkatisha tamaa mwamba?
Kichwa Kichafu said: Kuna watu wanateseka aisee! Sasa hadi unafatilia sajili za walevi. Click to expand... Oya mbona una mkatisha tamaa mwamba?
N njaakalihatari JF-Expert Member Joined Feb 12, 2019 Posts 4,081 Reaction score 8,671 Aug 26, 2021 Thread starter #26 demigod said: Umeona wapi Batiki inauzwa 35,000/=? Click to expand... bikini zenyewe zinazotoka na vichembechembe vya mavi ziko hadi za milioni sembuse mabatiki yenye vibwengo all over?
demigod said: Umeona wapi Batiki inauzwa 35,000/=? Click to expand... bikini zenyewe zinazotoka na vichembechembe vya mavi ziko hadi za milioni sembuse mabatiki yenye vibwengo all over?