Rivers utd wadai kupuliziwa sumu na kuibiwa pesa

Nawatetea yanga hawawezi kufanya huo upuuzi kwa timu gani ile kama ihefu tu. Watafta sababu labda washaona mambo magumu. Ila wanaijeria kwa ujanja ujanja wanajulikana.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Suala la kupuliziwa sumu sidhani, lakini suala la kuiba pesa inawezekana ni kweli kwa sababu kuna kipindi cha nyuma kuna timu ilikuja kucheza na Simba mashabiki wa utopolo wakaenda kuwapokea uwanja wa ndege baada ya muda wachezaji wakalalamika kuibiwa simu.
 
Nyinyi kipindi mnaituhumu Simba kuwa ina puliza sumu kwenye nyumba vya kubadilishia nguo mlikuwa mnakuja na ushahidi gani?
 
Nawatetea yanga hawawezi kufanya huo upuuzi kwa timu gani ile kama ihefu tu. Watafta sababu labda washaona mambo magumu. Ila wanaijeria kwa ujanja ujanja wanajulikana.

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Yanga wana bahati mechi ya 1 walianzia Nigeria la sivyo wangepatwa na majuto kama ile mechi ya wakati ule walipomalizia Nigeria.
 
Mashibiki wa Yanga. Hiyo sentensi uliyoandika mashabiki wa Yanga umeandika ila hukufikiria kwa upana. Kifupi walikuwa ni wezi ndio walioba na sio Yanga ndio walioiba.
 
Acha usu **** wewe
 
Hawa jamaa inawezekana wameleta sinema zao za kinigeria, wamefanya wao halafu wanatangaza ili kuleta mtafaruku hakuna watu matapeli Kama Nigeria
 
Mashibiki wa Yanga. Hiyo sentensi uliyoandika mashabiki wa Yanga umeandika ila hukufikiria kwa upana. Kifupi walikuwa ni wezi ndio walioba na sio Yanga ndio walioiba.
Wachezaji walilalamika kuibiwa simu zao na watu walio enda kuwapokea uwanja wa ndege na walio enda kuwapokea ni mashabiki wa utopolo fc usilete utetezi usio na maana.
 
Kama Yanga haijafanya haya isikubali kuchafuliwa kipuuzi.
Waitake CAF ifanye uchunguzi na ikibainaka ni uongo wachukuliwe hatua kali za kinidhamu na ikibaina ni kweli nao wakubali kubeba msalaba
 
Wachezaji walilalamika kuibiwa simu zao na watu walio enda kuwapokea uwanja wa ndege na walio enda kuwapokea ni mashabiki wa utopolo fc usilete utetezi usio na maana.
Kwahiyo unataka kukataa kuwa hakuna mashabiki wezi au vipi? Mbona unakosa maarifa kiasi hiki? Hakuna kiongozi wa Yanga kwenye hao watu bali ni mashabiki ambao ni wezi na ndio maana wameiba vitu.
 
Kwahiyo unataka kukataa kuwa hakuna mashabiki wezi au vipi? Mbona unakosa maarifa kiasi hiki? Hakuna kiongozi wa Yanga kwenye hao watu bali ni mashabiki ambao ni wezi na ndio maana wameiba vitu.
Kwani kwenye maelezo yangu kuna sehemu nimetaja viongozi wa yanga?
Mashabiki wa yanga wengi ni vibaka ni kuwa nao makini sana.
 
Nyinyi kipindi mnaituhumu Simba kuwa ina puliza sumu kwenye nyumba vya kubadilishia nguo mlikuwa mnakuja na ushahidi gani?
Hawakushutumu kabla ya mchezo ni baada.
Wewe mtu anaweza kunyanyua gunia lenye nafaka yenye uzito wa kilo 100 lakini mtu huyo umpatie sehemu fulani ya kupumzika baadae unamwambia anyanyue kiroba cha kilo 30 anaanguka nacho lazima uwe na doubt.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…