the_legend
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,611
- 7,063
- Thread starter
-
- #241
Hahahaa, sipati picha ingekuaje mzimu kama wa kayoza ungeingia kwa kila handsomeInaonekana muhandsome navuta picha yake
Hahahaha, genye sio poa. Zikipanda kuelewa ni ngumuYaani hawaelewi kabisa...wana vichwa vigumu balaa
Hahaha wangekufa wengi sanaHahahaa, sipati picha ingekuaje mzimu kama wa kayoza ungeingia kwa kila handsome
the Legend☆
Sawa sawa mkuu,, ntakuwa nachungulia chunguliaKesho asubuhi ndio uhakika zaidi mkuu, ila kama nkiweza kuweka nyingine kabla siku ya leo haijaisha ntafanya hivyo
the Legend☆
Zinawaponza sasa hahahahahahHahahaha, genye sio poa. Zikipanda kuelewa ni ngumu
the Legend☆
Pamoja sana mkuuSawa sawa mkuu,, ntakuwa nachungulia chungulia
Hahahaa, vipi kama mzimu ungewaingia waleta hadithi wa jf?[emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha wangekufa wengi sana
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnajijua vile ambavyo mngekufa wengiHahahaa, vipi kama mzimu ungewaingia waleta hadithi wa jf?[emoji23][emoji23][emoji23]
the Legend☆
Hahahahahaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] mnajijua vile ambavyo mngekufa wengi
Afu dubwana lenyewe lina 'timing' kali balaa. Mtoto mzuri akishamshusha jamaa suruali tu dubwana hilo linakuja chap na mijino yake[emoji23][emoji23][emoji23]Jembe langu Omary anaumwa...jamaa ana mbwembwe hatari...ila kayoza nae lile dubwana lake linamnyima vitu vizuri..watoto wakali anashindwa kuwala....
Tunaendelea wakuu
Cc Norshad Shunie Tumosa bobefu zoefu PAKAYA Ibney blackstarline Bryece Tater, Bigjahman moneytalk, marybaby, nipo2, Bishop Hiluka ram, kisukari, Smart911, Madame S, carbamazepine, Astelia, culture gal , Prisoner of hope,dumejeuri Mine eyes, kuku mweus, Thad, hearly, moneytalk, Kinondoni Sweetheart Mine eyes, Kudo, swahiba92, ludist, Toyota escudo, Clkey, macson3, Thad, boga la kiangazi, macson3, LEGE, Smart911, Richard irakunda, skfull, popie, Krizy Beat, hearly SUPER EMILY, WISDOM SEEDS nipo2 MWINDAJI HARAMU kakhulu Katavi Norami mbududa SUPER EMILY iron2012 popie Albinoomweusi Rubawa Tieli Kingsharon92 Jane Msowoya ADK Jogoo wa Shamba II Roram Mtoto wa Baba Towned greybakuza
the Legend☆
Noma sana..nilijua Martha ataanza kucheza na "mic" kumbe dah "jini mpenda damu" ana wivu balaa...Afu dubwana lenyewe lina 'timing' kali balaa. Mtoto mzuri akishamshusha jamaa suruali tu dubwana hilo linakuja chap na mijino yake[emoji23][emoji23][emoji23]
the Legend☆
Niliona kwenye ukurasa Wa Twitter Wa mwandishi alisema mpaka akishatoa kitabu cha Mimi na raisi ataendeleaThe Legend vipi kuhusu hadithi ya mtoto wa baba paroko mbona hakuna muendelezo?
Niliona kwenye ukurasa Wa Twitter Wa mwandishi alisema mpaka akishatoa kitabu cha Mimi na raisi ataendeleaThe Legend vipi kuhusu hadithi ya mtoto wa baba paroko mbona hakuna muendelezo?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nisamehe ulimi umeniponyoka[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji114][emoji114][emoji114]
the Legend☆
Hahahahaa, inaelekea Martha kakukera hatari[emoji2]