Riwaya: Kijijini kwa Bibi

Mwanamitindo Maarufu MANGE KIMAMBI hatimaye amewasili nchini Tanzania usiku wa kuamkia leo 26/10/2018,

Taalifa zinasema kuwa Mwanamitindo huyo ameingia nchini usiku wa manane kwa kuhofia asije kamatwa ingawa hata hivyo haikusaidia chochote kwani Maafisa usalama walikuwa tayari wamekwisha zipata taarifa za ujio wake na wakakaa kumsubili Kabla hajatia miguu katika Ardhi ya Tanzania

Alipofika aliwekwa chini ya Ulinzi lakin Mh. John Pombe Magufuli akatoa tamko kwamba Wamuachie huru ila wamwambie anaombwa na Rais kwaajili ya Mazungumzo Ikulu.

Mpaka namaliza kuota ndoto hii iliyokuwa ya kusisimua niliacha Mange Kimambi Bado hajaenda ikulu
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Safi sana...

Hiyo title ya Ghost Memory iwe mwanzo ya simulizi nyingine...


Chapter Closed...


Cc: mahondaw
 
mleta uzi badili jina ujiite KAYONZA ili kumuenzi mwamba...

mimi soon najiita SAJENT MINJA
 
Dah bonge la riwaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…