RIWAYA MPYA MJINI.

RIWAYA MPYA MJINI.

Joined
May 23, 2024
Posts
15
Reaction score
43
Nguvu ya KIAPO.
Habari ya asubuhi mpendwa wangu!!!!

Ni matumaini yangu uu, buheri wa afya. Namtukuza Mungu kwa ajili yako.

Rasmi kabisa nakutaarifu, juu ya ujio wa riwaya yangu mpya iitwayo; nguvu ya KIAPO

Itaingia sokoni rasmi tarehe 15/6/2024

Kitabu hiki kitapatikana kwa shilingi elfu 12 tu.

Habari njema ni kuwa, kama utalipia kabla ya tarehe hiyo, utapata punguzo. Lipia elfu 10 tu na tarehe 15 upokee nakala yako swaafi kabisa.

0742 6301 41 tuwasiliane.

Karibu sana, nisaidie kumkaribisha na mwingine unayemthamini apate ofa hii.

Utunzwe na Mungu, muumbaji wako.
 

Attachments

  • IMG-20240610-WA0026.jpg
    IMG-20240610-WA0026.jpg
    334.9 KB · Views: 8
  • IMG-20240610-WA0025.jpg
    IMG-20240610-WA0025.jpg
    225.2 KB · Views: 7
Asante Sana. Ni hadithi tu, au ni kitabu chenye kufundisha Neno la Mungu?
 
Back
Top Bottom