Nyakarungu
JF-Expert Member
- May 1, 2011
- 472
- 377
RIWAYA YA ''UTASHI NI MTU''
Baada ya kuzitazama zile nyasi zinavyopendeza mwituni ili hali kijana ''Bano wa masaa'' akiwa hana viatu vya kumkinga na miiba na dudu washa waliosheheni msituni humo, aliamua kurudi kwa kasi kikosini na kuchukua kiberiti chenye njiti 3(zote zikiwa na maana) aliamua kuchoma msitu ule bila kujali wala kuogopa sheria kali za kijiji cha PM 7 chenye sheria kali ya kunyonga yeyote anaebainika kuchoma nyasi au msitu, alichoma nyasi zile ili mradi tu apate kupita kirahisi kuliendea gogo lake la mkaratusi wenye kutoa harufu kali yenye mvuto linapowashwa ndani ya nyumba..... huku akiwa bado ameshangaa eneo la tukio akingojea majivu yapoe ili akatize mbuga ile ya masaliani kuliendea gogo, alijikuta mikononi mwa sungusungu waliomuweka chini ya ulinzi, alijitahidi kujitetea na kudanganya kuwa sio yeye aliyechoma bali anamjua mchomaji, ila alipotazamwa mkononi alikuwa bado ana kiberiti chake mkononi,..Afande Mchangeli akamuuliza, arooo!!!! unavutaga sigara!!!!!? Bano akajibu hapana,...... NI KISA CHA KWELI CHENYE KUSISIMUA SANA FUATANA NAMI UTAPATA UHONDO WOTE KILA SIKU ILA UTAMU HALISI NI MWISHO WA MWEZI HUU KITATOKA, NAAMINI KITABAMBA.