Riyama Ally: Ukinitongoza sina hiyana

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa filamu Bongo, Riyama Ally amesema katika maisha yake hajawahi kumtukana mwanaume pindi anapomtokea hata kama hamuhitaji, anamjibu kwa busara .

Akipiga stori na paparazi wetu, Riyama alisema yeye yupo tofauti na wasichana wengine ambao wamekuwa na tabia ya kuwatukana wanaume pindi wanapowasilisha hisia zao za kimapenzi kwa sababu tu hawavutiwi kuwa nao.

"Hata kama mtu akinitongoza na nikawa simuhitaji kamwe siwezi kumtukana wala kumuonyesha dharau , kimaadili sisi sote ni binadamu na kila mtu ana hisia zake na maamuzi yake , namjibu tu kistaarabu kwamba mimi nina mtu wangu, kumjibu mwanaume vibaya Mungu hapendi , " alisema Riyama.
 
Mimi nikajua ukimtongoza hana hiyana kukupa kumbe anapokea maombi ila tayari kashaajiri.
 
Mimi nikajua ukimtongoza hana hiyana kukupa kumbe anapokea maombi ila tayari kashaajiri.

Dalili mbaya sana kwa mtoto wa kike kucheka cheka ovyo kwa kila mwanaume anayekutongoza, huyu riyama anafundisha jamii umalaya tu, sasa sis wanaume usipotutilia ngumu unadhan tutaacha kupigia msele, huyu nae kashaanza umalaya tu apa mfyyyu
 
Matangazo ya biashara hv huyu na Wastara wana nini ckuiz
 
Mkuu warumi weka no yake hapa nimcheki. hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…