Elections 2010 Riz na mama yake wamekata tamaa??

Mawenzi

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2010
Posts
1,251
Reaction score
347
Hivi Rizi na mama yake wa kambo wamekata tamaa kumkampenia JK?? Sijawasikia kwa muda mrefu sasa
 
hivi rizi na mama yake wa kambo wamekata tamaa kumkampenia jk?? Sijawasikia kwa muda mrefu sasa

binaadammmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmmm ikiwa baridi wanalalamika baridi ikiwa joto wanalalamika joto. Wakipata moja hawaridhiki wanataka mbili.

Mama wa watu wamemshambulia amewasikia akaacha kukampenia sasa mnataka akampenie tena mumtukane? Duh kweLi ubinadam kazi
 
watakuwa wanafanya zile kampeni za shuka kwa shuka
 
Mama wa watu wamemshambulia amewasikia akaacha kukampenia sasa mnataka akampenie tena mumtukane? Duh kweLi ubinadam kazi

watakuwa wanafanya zile kampeni za shuka kwa shuka

Mbio za sakafuni za JK sasa zaishia ukingoni hivi karibuni
 
Du kwani kampeni ya shuka kwa shuka imeisha?
 
Hivi Rizi na mama yake wa kambo wamekata tamaa kumkampenia JK?? Sijawasikia kwa muda mrefu sasa

kwa hiyo unawatukana mama wa kambo popote walipo? jamani mmesikia kauli mbiu ya chadema? hawataki kura za mama wa kambo popote Tanzania.
 
Wameshakoma kabisa!ulingo wa siasa ni mgumu sana!
 
kwa hiyo unawatukana mama wa kambo popote walipo? jamani mmesikia kauli mbiu ya chadema? hawataki kura za mama wa kambo popote Tanzania.

Kampeni haziendi hivyo mama Pi..
 
kwa hiyo unawatukana mama wa kambo popote walipo? jamani mmesikia kauli mbiu ya chadema? hawataki kura za mama wa kambo popote Tanzania.

inamaana huwezi kusoma na kuelewa kile wenzako wanaandika au ndo unafikiria kutoka usogoni?
 
Ahaa hawajakata tamaa, wanafikiria hilo deal la kujenga uwanja wa kimataifa wa ndege na bandari ya kisasa Bagamoyo. Kweli Nyerere alijisahau sana maana Bagomoyo itakuwa Ulaya ndogooo. Madini yanachimbwa Geita viwanja vinajengwa BWAGAMOYO! Huui, mimi simo na yangu macho
 
kwa hiyo unawatukana mama wa kambo popote walipo? jamani mmesikia kauli mbiu ya chadema? hawataki kura za mama wa kambo popote Tanzania.

Mama Porojo
embu tupe neno sahihi kuwakilisha mama wa kambo
 
Wamemwacha jk aishie kwenye cheating za ahadi. -Machinga Complex Our Tanzanias' priority:mod::mod:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…