Riziki mafungu saba: Kijana muuza kashata aliyegeuka mfanyabiashara mwenye mafanikio

Mwanangu kila mtu na riziki yake, kuna mtu ana hela balaa kila kijana alikuwa anatamani awe kama huyu mtu. Huyu jamaa alipofikwa na maradhi kila mtu kabakia kumuonea huruma.
Mkuu hayo maneno tuu naonaga kama hadithi..

Et "" jamaa ana pesa kibao ila hana furaha.. hana amani na pesa zake"""

Haya maneno ya kujifariji mkuu oooh
 
Unachokiona chai hapo ni nini? Dunia ya leo Fundi Seremala wa Mtaani anaweza kuwa na kipato kikubwa kuliko hata graduate mwenye masters degree, sababu mmoja ana skills zinazompa pesa na mwingine ana qualifications za kwenye makaratasi(vyeti).
Tatizo lenu kubwa ni kwamba shule inazidi kuwafanya muwe wajinga na bado hamjashtuka. Ukiwa na akili zako timamu na unajitambua basi uhitaji degree ili kutoboa kwenye maisha. Elimu ya msingi tu inaweza kukukomboa kutoka katika umaskini.
 
Mifaano kama hii ni kuhamasisha lk sio kila aliehamasika atafikia hatua husika.
 
CHAI.
 
Anaekuoa anakazi aise
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…