Riziki ya Bosi Upitia Kwa Wafanyakazi Wake

Riziki ya Bosi Upitia Kwa Wafanyakazi Wake

Sa 7 mchana

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2018
Posts
5,214
Reaction score
10,276
Habari zenu wakuu, mnaendeleaje na hali

Jamiiforums imekua nikisima cha maarifa mbalimbali kutoka kwa members wake wenye uzoefu
katika nyanja kadha wa kadha. Ukitaka ILIMU mbalimbali utapata Biashara, busara, Ndoa,Ulozi
na hata kula tunda kimasihara.

Leo nimesikia hili jambo mahala, kwangu limekuwa geni, Ni kaona isiwe kesi kulileta humu hili nipate
ilimu kutoka kwa wabobezi wa Ilimu dunia.

"Riziki ya bosi upitia kwa wafanyazi wake."

Alisikika mjasiliamali moja kwenye kipindi cha asubuhi chaneli ya ITV. Alisema kuwa ukiajiriwa wewe
ugeuka kuwa lango la riziki kwa bosi wako. Means kama bosi kawaajili wafanyakazi wa 3 (kwa mfano) means yeye anamtaji wakupata riziki kupitia kwa watu ama nafsi 4 ukimjumlisha na yeye, maana Mungu hutoa riziki kwa kila mja wake, so nyie (wafanyakazi) Mungu akitoa riziki yake kwenu inaefaidi zaidi ni bosi wenu kuliko nyie.

Mwisho mjasiliamali huyo alihitimisha kwa kusema vijana wakijiajiri na kuweza kuajiri wengine watajitengenezea
vyanzo zaidi vya riziki kupitia hao walio waajiri.

Mwenye kujua ukweli wa hili jambo tunamkaribisha atupe ilimu zaidi.

Uandishi tuvumiliane tu, amana namna.
 
Back
Top Bottom