Baada ya kupoteza pambano lake dhidi ya Mzambia Mbachi Kaonga, Dullah mbabe alifanya mahojiano mafupi na vyombo vya habari.
Mwandishi: Ulilionaje Pambano?
Dullah: Lilikuwa gumu, siko sawa, siko fit nina 'hogo' (Akaonesha picha katika simu), nilikuwa kwenye matibabu kwa miezi sita. Tunapigana kwa sababu hatuna pesa, lazima tupambane riziki ipatikane lakini siko fit.
Nilijua ni mechi ya kawaida, ndio maana niliwaambia mapromota tutafute mechi ya kawaida lakini mechi imekuja kuwa ngumu.
Mwandishi: Ulimwonaje mpinzani wako?
Dullah: Sio bondia mzuri sana, sema mwenyewe nilikuwa unfit.
Mwandishi: Kwa nini ulikubali kucheza na unajua unaumwa Dullah?
Dullah: Day after day lazima zipatikane riziki za watoto, wanatakiwa waende shule, wanatakiwa wasome pia tupate riziki za kula na familia.
Mwandishi: Kwa maana hiyo una-sacrifice kwa ajili ya familia?
Dullah: Yes, lazima..lazima tupambane!
_______________________________________
MY TAKE: Sikuwa nikimsikiliza loser, nilikuwa namsikiliza baba, nilikuwa namsikiliza mwanaume.